Videos

Mabibi na mabwana… Diamond Platnumz & AKA wametuletea video yao mpya ‘Make me Sing’

on

Muunganiko wa ladha mbili tokea nchi tofauti umekamilika kwa kuwakutanisha mastaa Diamond Platnumz na AKA kutokea Afrika Kusini kisha kuuleta huu mdundo wa ‘Make me Sing’, tazama video yenyewe hapa chini kisha niachie comment umeionaje na wimbo pia ili Diamond na AKA wakipita hapa wajue mashabiki wameipokeaje.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments