Top Stories

Sentensi 6 kutoka kwenye Twitter page za Edward Lowassa na Dr. John Magufuli.

on

Mitandao ya kijamii imekua ikitumika sana pia wakati huu wa kampeni kueleka kwenye siku kubwa ya Wananchi kufanya maamuzi ya nani aichukue nchi hii kwenye awamu ya tano kama Rais ambapo vyama viwili vilivyobeba headlines za Urais kwa uzito vikiwa ni CCM na CHADEMA kwenye UKAWA.

Kingine ni kwamba vyama hivi vimeona umuhimu wa mitandao ya kijamii mpaka Wagombea wao kuwa na account za Twitter ambazo ni Verified yaani zimethibitishwa na Twitter wenyewe kwamba ni Account halali za Wanasiasa hawa.

Mpaka September 20 2015 page ya Twitter ya Edward Lowassa ilikua na Wafuasi zaidi ya elfu 21 na ya Dr. John Pombe Magufuli zaidi ya elfu 23 ambapo haya hapa chini ni mambo sita kutoka kwenye kila page.

EL 1

EL 2 EL 3 EL 4Zifuatazo hapa chini ndio Tweets kutoka kwenye ukurasa wa John Pombe Magufuli.

MG 1 MG 2 MG 3 MG 4 MG 5PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia kuanzia kwenye siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>> YouTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments