Mix

Ilikupita? Alichokiandika Wema Sepetu baada ya Ujauzito wake kuharibika. (+Audio)

on

Moja ya stori kubwa zilizokamata kwenye mitandao ya kijamii Feb 17 2016 ilikuwa ni post ya mrembo wa bongo Wema Sepetu ambaye aliandika maelezo kuhusu kuharibika kwa ujauzito wake, Full stori nimekuwekea pia kwenye hii sauti hapa chini ikiwa ni kipisi cha interview niliyowahi kufanya na Idris Sultan kuhusu Ujauzito wa Wema.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments