AyoTV

Makontena bandarini Dsm: nani anatafutwa na Polisi sasa hivi? TRA wamekusanya bilioni ngapi?

on

Ziara ya ghafla ya Waziri mkuu wa Tanzania Majaliwa ndio ilianzisha yote haya ambayo kwa sasa yameendelea kuchukua headlines baada ya kugundulika kwamba kuna Makontena ambayo yamekua yakipitishwa bila kulipa kodi kwa muda mrefu kwenye bandari ya Dar es salaam.

Mpaka December 10 2015, Mamlaka ya mapato Tanzania TRA imesema imeweza kukusanya zaidi ya shilingi BILIONI 10 kutokana na kontena ambazo zilipitishwa bila kulipiwa kodi, taarifa zaidi na kujua anaetafutwa na Polisi Dar es salaam sasa hivi bonyeza play kwenye hii video hapa chini.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard AyokwenyeTwitter,FBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAMTWITTERFBYOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments