Top Stories

MOTO BUGURUNI: Wakazi waibiwa mali zao wakati wa uokoaji

on

Moto mkubwa uliozuka baada ya kutoboka kwa bomba la gesi maeneo ya Kwa Mnyamani, Vingunguti jijini Dar es Salaam umedhibitiwa na sasa hali ni shwari ingawa moto huo umeunguza nyumba iliyokuwa jirani huku wakazi wa eneo hilo wakielezea  kuhusu kuibiwa mali zao.

Wakazi hao wamedai kuwa mali zao zimeibiwa wakati zoezi la uokoaji lilipokuwa likifanyika ndipo  baadhi ya watu waliiba mali za majirani kwa kuvunja milango iliyokuwa imefungwa na kuondoka na vitu hivyo…

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama FULL VIDEO..

Ajali ya Moto wa Bomba la gesi Buguruni zimamoto wazungumza haya

Soma na hizi

Tupia Comments