AyoTV

Video: Dogo Janja alia kama mtoto jukwaa la Fiesta 2019 Dodoma

on

NI Msanii wa Bongo Fleva, Dogo Janja ambae October 19, 2019 alikuwa ni miongoni waliotoa burudani katika jukwaa la Fiesta 2019 mkoani Dodoma kwenye uwanja wa Jamhuri.

Hapa nimekusogezea video ujionee alivyoimba wimbo wake wa Imani huku akitoa machozi

Soma na hizi

Tupia Comments