Habari za Mastaa

VIDEO: Kolabo ya Dogo Janja, Sean Paul na Gyptian Uwoya atatumika video vixen..? Janja kafunguka

on

Dogo Janja amefunguka kufanya kazi na mastaa wa kubwa wa nje ambao ni Gyptian na Sean Paul ambapo amesema kuwa tayari kashafanya kolabo na Gyptian na hivi karibuni anakamilisha na Sean Paul ambapo akaulizwa je tutegemee kumuona Irene Uwoya kwenye hizo video?

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama video.

EXCLUSIVE: Janja Kafunguka penzi lake jipya “AMENILIPA ZAID YA M.5”

VIDEO: KIJANA WA MIAKA 23 ALIYEACHA CHUO KISA UMASKINI WA KWAO, ANAINGIZA ZAIDI YA M.1 KILA MWEZI

Soma na hizi

Tupia Comments