AyoTV

VIDEO: Kutoka kwenye Birthday Party ya mwigizaji Aunt Ezekiel…

on

Sherehe za birthday nazo zina uzito wake, Unaambiwa mwigizaji, Aunt Ezekiel alifanyiwa Party October 27, 2016 akaalikwa baadhi ya marafiki zake kusheherekea siku yake ya kuzaliwa.

Itazame hii video hapa uone jinsi kilivyohappen kwenye Birthday Party hiyo

ULIIKOSA HII YA BIRTHDAY PARTY YA RAYMOND WA WCB ILIVYOHAPPEN BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

 

Soma na hizi

Tupia Comments