AyoTV

VIDEO: Agizo la Rais Magufuli kuhusu kufutwa kwa tozo katika zao la kahawa

on

Jumatatu January 2 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemaliza ziara yake ya siku mbili Mkoani Kagera ambapo amezungumza na wananchi wa Mkoa huo wa Kagera katika viwanja vya Shule ya Sekondari ya Ihungo.

Katika hotuba yake, pamoja na mambo mengine Rais Magufuli ameuagiza uongozi wa Mkoa wa Kagera kupunguza utitiri wa kodi katika zao la kahawa ili bei ya zao hilo ipande na kuwanufaisha wakulima

VIDEO; Rais Magufuli alivyoamuru shule inayomilikiwa na CCM kuchukuliwa na Serikali, Bonyeza play hapa chini

unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments