Top Stories

PICHA 11: Watoto walionusurika kwenye ajali ya basi la shule walivyowasili leo

on

Wanafunzi watatu ambao walinusurika katika ajali ya basi la Wanafunzi wa Shule ya Lucky Vincent wamerejea Tanzania kutoka kwenye matibabu Marekani na kupokelewa na Watanzania wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro ‘KIA’.

millardayo.com imekuwepo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro na tayari inazo picha hizi.

Soma na hizi

Tupia Comments