Top Stories

“Rais Magufuli atapasuka kichwa, anapata tabu sana Mawaziri hawamsaidii”- Mbunge Shabiby

on

Mbunge wa Gairo Ahmed Shabiby amesimama Bungeni leo Mei 14, 2019 na kulieleza Bunge kuwa kuna baadhi ya Mawaziri walioteuliwa na Rais John Pombe Magufuli wanampa tabu sana kwa kushindwa kumsaidia katika majukumu yao waliyopangiwa na kuisababishia Serikali matatizo mbalimbali yakiwemo ya kiuchumi.

SERIKALI YABANWA BUNGENI KUIFUNGIA AZAM TV, UBOVU WA TBC WATAJWA

Soma na hizi

Tupia Comments