Habari za Mastaa

Good news kwa mashabiki wa Rihanna, leo anayo furaha ya kukuletea video yake mpya!

on

Rihanna 1Siku ya jumapili katika tuzo za BET msanii maarufu wa RnB Pop Rihanna aliwaonyesha watu video ya sekunde 90 ya wimbo wake B***h Better Have My Money wimbo uliotengeneza headlines kubwa nchini Marekani na kwenye charts za Billboard Music.

Thank you God for fulfilling Your plans in my life…. All the Glory belongs to You!!!!

A photo posted by badgalriri (@badgalriri) on

Msanii huyu anaziandika headlines za leo kwa kuachia official video ya wimbo huwo, Isitoshe wiki hii imekuwa poa sana kwake, shirikisho la Recording Industry Association of America (RIAA) la Marekani imemtangaza Rihanna kuwa msanii aliefanikiwa kuuza zaidi ya rekodi millioni 100 (Platnum Gold Certifications) na ni msanii alipata zaidi ya dola millioni 48 ya mauzo kupitia downloads za  nyimbo zake online nchini Marekani.

histoRIH!!!! First and only!!! God is great!!! #RIAA #digitalQueen #RIHmilli A photo posted by badgalriri (@badgalriri) on

Nimekusogezea video hiyo hapa chini bonyeza Play kuitazama.

Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments