Duniani

VideoFUPI: Abiria washushwa kwenye Ndege baada ya kuongea kiarabu

on

Ni abiria wengine wachache ndio walipaza sauti kutaka Abiria waliokua wakiongea kiarabu washushwe kwenye ndege ya shirika la ndege la Marekani liitwalo Delta ambapo Wahudumu wa ndege hiyo walichukua uamuzi wa kuwashusha.

Baada ya kuambiwa kuhusu kuondolewa kwao kwenye ndege hiyo abiria hao walianza kulalamika na kusema huo ni ubaguzi wa waziwazi kisa wameongea lugha nyingine, millardayo.com inaendelea kufatilia hii zaidi kujua imeishia wapi

ULIIKOSA YA BINTI MTANZANIA ALIYELIPWA BILIONI MOJA MAREKANI? BONYEZA PLAY HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments