Kamanda wa Polisi Dodoma Gilles Muroto amewaeleza waandishi wa habari na watumishi wa mamlaka ya mawasiliano nchini (TCRA) namna ambavyo wezi wa njia za mitandao walivyotaka kumuibia hadi yeye.
SERIKALI YAMJIBU ZITTO KABWE KUHUSU ATCL “SERIKALI NDIO ITABEBA LAWAMA”