Habari za Mastaa

Kitu DC Ally Hapi amemwandikia Alikiba baada ya kutoa ‘Seduce Me’

on

Baada ya mwimbaji staa wa Bongofleva Alikiba kuachia video ya wimbo wake mpya ‘Seduce Me’ August 25, 2017, wimbo huo umeonekana kupokelewa vizuri hata na viongozi wa kisiasa ambao hawakuficha hisia zao.

Mmoja wa wanasiasa ambao wameonesha kuupokea vizuri wimbo huo ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ally Hapi ambaye alitumia Instagram yake kuuelezea.

DC Hapi aliandika>>>”Nimekuelewa sanaa wajina @officialalikiba. Kazi imeenda shule. Nidai zawadi kwa muziki huu wa ukweli. Keep the fire burning!? #seduceme.”

WEMA SEPETU: “Kiba na Diamond ni wendawazimu, wananiudhi” 

Kitu RC Makonda amewaandikia Diamond na Alikiba kutokana na BEEF yao

Soma na hizi

Tupia Comments