Top Stories

Kauli ya Serikali kwa walimu waliohamishwa bila kulipwa stahiki zao

on

Mbunge wa Karagwe Innocent Bashungwa ameihoji Serikali ni lini itawalipa stahiki zao walimu waliohamishwa kufundisha shule za sekondari na kupelekwa katika shule za msingi bila kuwalipa, majibu yakatolewa na Naibu Waziri wa ofisi ya Rais (TAMISEMI) Joseph Kakunda.

NDUGAI VS SUGU BUNGENI: Gumzo la anachoning’iniza Sugu

Soma na hizi

Tupia Comments