Top Stories

VIDEO: Mambo yazidi kunoga Flyover ya ubungo, ulipofikia ujenzi

on

Kama una miaka miwili hujakanyaga Dar es Salaam basi ukifika usishtuke kuiona ubungo imebadilika, na leo AyoTV na millardayo.com zinakusogeza kujionea namna Ubungo ya miaka 3 nyuma ilivyokuwa ukilinganisha na ya mwaka huu 2019 ambapo bado ujenzi unaendelea na mradi huo unategemewa kukamilika 2020 na kupunguza foleni kubwa ambayo ipo kwa sasa.

Bonyeza PLAY hapa chini kujionea VIDEO yenye picha za Juu za Muonekano wa Ubungo Mataa kwa sasa.

KONA ZA MLIMA KITONGA NA BARABARA YA ZEGE, ‘MAGARI YASITELEZE’, MTAALAMI KAFUNGUKA

KIJICHI YAPANDA BEI, JAMAA KATAFUTA CHUMBA CHA ELFU 25 KAKOSA

Soma na hizi

Tupia Comments