Habari za Mastaa

VIDEO: Alichokizungumza mama mtoto wa Ben Pol kuhusu kukiss na Snura

on

Baada ya kuzagaa kwa picha zikimuonesha msanii Ben Pol akikiss na Snura wakati wakiwa kwenye tour ya Fiesta 2016, taarifa zimemfikia pia mzazi mwenza wa Ben Pol, Latifa Mohamed a.k.a Queen Tipha ambaye ameeleza hisia zake juu ya picha hizo na jinsi watu walivyolipokea.

>>>Mimi sikuona kama ni vibaya, sikuhisi kama ambavyo story ilikua inazungumzwa, sikuenda sana negative nimeangalia ile picha nimeona ni ya kawaida, wale ni wasanii na Ben aliniaga anaenda kazini, kwahiyo najua yuko kazini siwezi kuingilia mambo ya kazi:- Queen Tipha

ULIIKOSA HII YA VANESSA MDEE KUFANYA COLLABO NA TREY SONGZ? ITAZAME HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments