Mix

Miaka miwili baada ya kutekwa wasichana 276 na Boko Haram, mmoja apatikana akiwa mjamzito

on

Kama unazikumbuka story za kundi la Kigaidi la Boko Haram kuteka wasichana 276 Nchini Nigeria, sasa leo taarifa zilizopatikana ni kwamba binti mmoja amepatikana baada ya miaka miwili.

Binti huyo kwa jina la  Amina Ali amepatikana akiwa na ujauzito kwenye msitu wa Sambisa huko kaskazini mwa  Nigeria ambapo ndipo walikuwa wamefichwa wasichana hao.

Wasichana hao ambao huitwa ‘chibok girls‘ ambao ni wanafunzi wa shule ya bweni walitekwa na magaidi hao wakiwa shuleni.

ULIKOSA DAKIKA 5 ZA MBUNGE ANAYESEMA HATAKI ISHU ZA VIWANJA VYA NDEGE? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments