Mix

Polisi wamethibitisha kukamatwa kwa Freeman Mbowe

on

Leo February 20 2017 Kamishna wa kanda maalumu Dar es salaam Simon Sirro amethibitisha kukamatwa kwa mwenyekiti wa chama cha cha Demokrasia na Maendeleo “CHADEMA”.

Kwa upande wake msemaji wa CHADEMA Tumaini Makene, akizungumza na millardayo.com amesema Freeman Mbowe amekamatwa wakati akiwa njiani kuelekea kituo cha polisi kwa mahojiano.

Ulikosa kauli ya Polisi baada ya Mbowe kutotokea Central Jumatano? Bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments