Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Waziri wa Elimu leo kaenda mwenyewe chuo Kikuu cha St. Joseph Dar es salaam
Share
Notification Show More
Latest News
Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama
February 2, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023
February 2, 2023
Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha
February 2, 2023
Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro
February 2, 2023
Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu
February 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Waziri wa Elimu leo kaenda mwenyewe chuo Kikuu cha St. Joseph Dar es salaam
Mix

Waziri wa Elimu leo kaenda mwenyewe chuo Kikuu cha St. Joseph Dar es salaam

March 9, 2016
Share
3 Min Read
SHARE

Chuo Kikuu cha Mt. Joseph kimechukua vichwa vya habari hivi karibuni baada ya kutokea kwa migomo kwenye vyuo vishiriki vya chuo hicho na baadhi kufutiwa vibali vilivyoanzisha vyuo vikuu viwili vishiriki vya Mt Joseph ambavyo ni chuo kikuu kishiriki cha sayansi ya kilimo na Teknolojia ‘SJUCAST’-Arusha na chuo kikuu kishiriki cha teknolojia ya Habari Mawasiliano ‘SJUIT’-Songea.

Chuo cha Mt Joseph nao waligoma kuanzia mwanzoni mwa juma hili wakiwa na madai mbalimnbali ikiwemo kufundishwa mtaala ambao haupo nchini pamoja na wakufunzi wasio na sifa.

Leo March 9 Waziri wa Elimu na mafunzo ya Ufundi Prof. Joyce Ndalichako amefika chuoni hapo na kutoa maelezo ikiwa ni juhudi za kutatua mzozo huo na ameyazungumza haya kwa wanafunzi…

>>>’baada ya kuona changamoto nyingi kuwa ni za kiutawala, kwa hiyo mmalizie mitihani yenu, baada ya mitihani ni wiki mbili, kwa hiyo chuo kitakuwa kimefungwa, muda huo Chuo kirekebishe dosari ndogondogo hizi za kwenye maabara, vitu ambavyo havijafungwa na vimekwisha kufika vifungwe na kikubwa zaidi ni suala la kiutawala kwa wale ambao hawana sifa Utawala  urekebishe‘:-Joyce Ndalichako

Pia Waziri Ndalichako amegusia madai ya ada kubwa chuoni hapo na ameyazungumza haya

>>> ‘suala la ada ni suala ambalo linatakiwa liangaliwe kwa ujumla wake  kwa vyuo vyote kwa sababu mwanafunzi anapojiunga na chuo anajua ada ni kiasi kadhaa, kwa hiyo kwa kusema kwamba itapungua hilo ni suala la makubaliano, na kwa kuzingatia kwamba TCU inaangalia namna ya kuweka ada elekezi kwa vyuo vyote kwa hiyo sasa hivi wanafunzi watatakiwa kulipa ada kama makubaliano yalivyo wakati makubaliano yale yanaendelea’:– Joyce Ndalichako

#MillardayoUPDATES Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi Profesa Joyce Ndalichako amefika katika chuo kikuu cha Mt.Joseph Dar es salaam nakutoa maelezo ya kufanywa baada mgomo wa wanafunzi ulioanza Jumatatu March 7 2016

A video posted by millard ayo (@millardayo) on Mar 9, 2016 at 2:59am PST

ULIIKOSA VIDEO YA LULU ALIVYOITEMBEZA TUZO YAKE KWENYE RANGE ROVER?   TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na MillardAyokwenyeTwitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAMTWITTERFB YOUTUBE

You Might Also Like

Fredy Lowassa akabidhi vifaa vya shule kwa waliofauli 2023

Gynah ni mwimbaji wa kimataifa kenye usiku wa Kahawa

PICHA: Jerry Muro akabidhi madarasa 29 kwa RC Singida

Samsung wafungua duka lao ndani ya Palm village Mikocheni

Hatimaye Miss Tanzania 2020 akabidhiwa zawadi yake

TAGGED: habaridaily
Millard Ayo March 9, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article List ya msafara wa Yanga utaokwenda kuikabili APR Kigali Rwanda klabu Bingwa Afrika
Next Article Licha ya ajali kutokea asubuhi, bado umati umekusanyika Kituo cha Polisi Buguruni
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama
Top Stories February 2, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023
Magazeti February 2, 2023
Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha
Top Stories February 2, 2023
Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro
Top Stories February 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama

February 2, 2023
Top Stories

Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha

February 2, 2023
Top Stories

Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu

February 2, 2023
Top Stories

liganga na Mchuchuma ngoma nzito, Waziri akubali hoja za Askofu Gwajima

February 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?