Premier Bet SwahiliFlix Ad Vodacom Ad

Habari za Mastaa

EXCLUSIVE: Baba wa Masogange anategemewa kuzindua Movie aliyoshiriki Mwanae

on

Muigizaji wa Bongomovie Rammy Galis amezungumza kuhusu kuchelewa kwa movie yake mpya aliyomshirikisha marehemu Agnes Masogange enzi za uhai wake ambapo Rammy ameleza kuwa ilibidi waipeleke movie hiyo Nigeria kutokana na changamoto zilizotokea wakati wa editing.

Pamoja na hilo Rammy amesema kwamba wanatarajia kuizindua movie hiyo hivi karibuni kwani iko tayari na istoshe mtoto wa Masogange pamoja na Baba wa mtoto wanampa ushirikiano wa kutosha kwenye hilo na hivi karibuni anatarajia kwenda kwa Baba mzazi wa Masogange ili kumualika kuja kufanya uzinduzi wa movie hiyo.

GOODNEWS: Ukumbi mpya wa cinema DSM, Rammy Galis apata shavu

Soma na hizi

Tupia Comments