Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: “Ipo siku nitakufa, hakuna anayeishi milele” – WEMA SEPETU
Share
Notification Show More
Latest News
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
March 22, 2023
Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’
March 22, 2023
Wanywaji Pombe wapewa alama tatu, “mdogomdogo, Wajawazito na Madereva”
March 22, 2023
“Serikali kutenga Fedha kulinda hadhi ya urithi wa Mji mkongwe Zanzibar”- Rais Mwinyi
March 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > “Ipo siku nitakufa, hakuna anayeishi milele” – WEMA SEPETU
Habari za Mastaa

“Ipo siku nitakufa, hakuna anayeishi milele” – WEMA SEPETU

November 29, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Leo Nov 29, 2017 muigizaji kutokea Bongomovie Wema Sepetu ameamua kuandika dukuduku lake kuhusiana na matusi ambayo amekuwa akitukwana kwenye mitandao ya kijamii jambo ambalo limemfanya aseme anatamani kutokuendelea kuwepo kwenye mitandao hiyo.

Wema ametumia ukurasa wake wa Instagram kuandika ujumbe huo na kuonesha jinsi gani amechoshwa na hali hiyo. Kwenye akaunti yake hiyo Wema ameandika….>>>”Ipo siku nitakufa, hakuna anaeishi milele… Sijui mtaendelea kunisema kwa kejeli na kunitukana matusi ya nguoni au ndo itakuwa, “Maskini ya Mungu, Dada wa watu alikuwa hivi na vile, Mungu ailaze Roho yake mahali pema…” Kuna muda mwingine huwa natamani Allah Subhannah wata’allah anichukue tu…

“Ya Duniya ni mengi sana…. Kuna muda mwingine nakufuru mwenyezi Mungu na kutamani labda hata nisinge exist… Ila acha niendelee kumtegemea yeye… Kila jambo hutokea kwa sababu…. Hili nalo litapita… I think I need a Time Off Social Media… Kwa mara nyingine Tena…. Siwezi jamani…” – Wema Sepetu

MA- EX WA DIAMOND PLATNUMZ

You Might Also Like

EXCLUSIVE: Alikiba akanusha kuepo kwenye Album ya Davido, aingia kwenye kilimo

Sina Tatizo na yeye, mteule wa Rais hanuniwi” Steve Nyerere Kafunguka (+video)

Rihanna & Asap rocky waipanga ndoa yao ya siri , barbados hivi karibuni

MTOTO WA BECKHAM APOST SAA YA MIL 97, ANYWA POMBE NA BABA YAKE

MADONNA AWAJIBU MASHABIKI MUONEKANO WAKE MPYA BAADA YA UPASUAJI!

TAGGED: Bongofleva, bongoflevanews, Wema Sepetu
Victor Kileo TZA November 29, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article ULIWAMISS Alikiba na Abdukiba kwenye kolabo ya pamoja? wanatuletea hii
Next Article HEKAHEKA: Mwanaume amnyonga mkewe na kisha ajinyonga mwenyewe
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
Top Stories March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
Top Stories March 22, 2023
Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’
Top Stories March 22, 2023
Wanywaji Pombe wapewa alama tatu, “mdogomdogo, Wajawazito na Madereva”
Top Stories March 22, 2023

You Might also Like

Top Stories

Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya

March 22, 2023
Top Stories

Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”

March 22, 2023
Top Stories

Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’

March 22, 2023
Top Stories

“Serikali kutenga Fedha kulinda hadhi ya urithi wa Mji mkongwe Zanzibar”- Rais Mwinyi

March 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?