Habari za Mastaa

Diamond anaandaa reality TV show yake, P square ndani (+Audio)

on

Kama utakuwa ni mpenzi wa kufuatilia stori za entertaiment basi hizi hapa zisikupite, millardayo.com imekurekodia stori  zote za April 25 2016  ambazo zimepata airtime kupitia 255 ya XXL na Stori ambayo imepata airtime ni hii ya P square kushoot video na Diamond Platinumz.13102417_221075748268054_702599398_n

Wasanii wakubwa Afrika ambao wanaunda kundi la P square wameonekana kwenye reality show ya Diamond Platinumz wakiwa location South Africa kwa ajili ya kushoot ngoma mpya na hii ni kauli ya Diamond Platimuz……

>>>hiki sio kireality show ni reality show na sio bora reality bali ni reality bora mimi mwenyewe nilitaka nifanyage siku nyingi lakini nilikuwa nataka kuwe na production kuwe na vifaa bora, kila kitu kiko sawa tu‘:-Diamond Platinumz

Stori zote zilizopata airtime unaweza kubonyeza Play hapa chini….

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

ULIMISS MANENO YA DIAMOND PLATINUMZ BAADA YA KURUDI TANZANIA NIMEKUWEKEA HAPA CHINI..

 

Soma na hizi

Tupia Comments