fB insta twitter

VIDEO: Kama Diamond Platnumz atauza account yake Instagram, hii ndio pesa atakayouzia

on

Katika list ya mastaa wakubwa kutoka bongoflevani wenye mafanikio makubwa kwa sasa hivi huwezi kuacha kumtaja Diamond Platnumz na pia ni mmoja kati ya mastaa wenye followers wengi kwenye mitandao ya kijamii haswa mtandao wa Instagram ambapo staa huyu anafollowers Mil.2.8 sasa hivi.

xd

Septeber 30 2016 Diamond Platnumz amefanya interview na Clouds Tv kwenye kipindi cha de weekend chat show ambapo amefunguka ikiwa leo hii ataambiwa auze account yake ya Instagram hii ndio bei alioitaja, unaweza kuitazama video nimekuwekea hapo chini…

>>>”labda Naweza kuiuza kwenye Dolla Million Mbili hivi’Diamond Platnumz

ULIMISS KUIONA HII YA PERFOMANCE YA DIAMOND PLATNUMZ KWENYE SHOW YA ONE AFRICA MUSIC FESTIVAL NEW YORK MAREKANI? UNAWEZA KUITAZAMA NIMEKUWEKEA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments