Habari za Mastaa

PICHA: Sura ya Mtoto wa Navy Kenzo imeonekana kwa mara ya kwanza

on

Baada ya Familia ya Noel Mkono maarufu kama Aika na Nahreel kubahatika kupata mtoto mwishoni mwa mwaka jana hawakuwahi kupost picha yoyote ya mtoto wao inayoonesha sura yake mpaka siku ya leo January 12, 2018 ambapo kupitia ukurasa wa Instagram wa Nahreel na Navykenzo wameweka picha ya mtoto wao na kuonesha Sura yake.

Mtoto wa Aika na Nahreel ambaye amepewa jina la Gold ameonekana kwenye picha akiwa amevaa cheni ya Gold kama lilivyo jina lake..

EXCLUSIVE: Dalali aliyemuuzia nyumba Diamond kafunguka gharama za mjengo huo mpya

Soma na hizi

Tupia Comments