Habari za Mastaa

VideoMPYA: Quick Rocka na Mimi Mars wanakualika kuitazama hii mpya “Down”

on

Star mwenye uwezo wa kubadilika kwenye style za kuflow kuanzia kurap, dancehall mpaka kuimba kawaida, Quick Rocker amekutana na mwimbaji star mpya kwenye game, Mimi Mars kwenye hii single na video mpya “Down” ambayo imeongozwa na Hanscana.

Nimekuwekea hapa chini chukua dakika zako 3:48 kuitazama.

VIDEO: Ulipitwa na hii ya Mimi Mars kuhusu kuingia kwenye muziki?? itazame hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments