Top Stories

Bugando ina Wagonjwa wa Afya ya akili 71 na 11 wanatafuta ndugu zao,

on

Leo March 21, 2018 Hospitali ya Rufaa ya Bugando Mwanza ina jumla ya idadi ya Wagonjwa wa Afya ya akili 71, Wagonjwa 11 bado ndugu zao hawajajitokeza kuwatambua. Hali hiyo imewafanya Hospitali ya Bugando kitengo cha Ustawi wa jamii kuita Wanahabari na kuzungumza nao.

Waziri wa EALA Kenya ameeleza jinsi Tafiti vinavyoibiwa

Soma na hizi

Tupia Comments