Top Stories

Mazishi ya Baba yake Prof. Jay, kinachoendelea Mikumi muda huu

on

September 7, 2018 ambapo Baba Mzazi wa Mbunge wa Mikumi Joseph Haule (Prof. Jay) alifariki dunia akiwa katika Hospital St. Kizito Mikumi, sasa leo September 11, 2018 nido siku ya mazishi ambapo marehemu atapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele, iliyoandaliwa jirani na nyumbani kwake alipokua akiishi.

VIDEO: Yafahamu machache yanayohusu Gari la Miss Tanzania 2018 

VIDEO:Alieko mapenzini na Moni asimulia kufumaniwa

Soma na hizi

Tupia Comments