Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: PICHA 13: Maagizo aliyoyatoa Rais Magufuli baada ya kutembelea Bandari ya DSM
Share
Notification Show More
Latest News
Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.
March 20, 2023
Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .
March 20, 2023
Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.
March 20, 2023
Serikali ya Taliban yapiga marufuku zao la bangi.
March 20, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 20, 2023
March 20, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > PICHA 13: Maagizo aliyoyatoa Rais Magufuli baada ya kutembelea Bandari ya DSM
Mix

PICHA 13: Maagizo aliyoyatoa Rais Magufuli baada ya kutembelea Bandari ya DSM

September 26, 2016
Share
2 Min Read
SHARE

leo September 26 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametembelea Bandari ya Dar es Salaam na kuzungumza na wafanyakazi wa bandari hiyo ambapo pamoja na mambo mengine ametoa miezi miwili kwa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kununua mashine nne za kukagulia mizigo bandarini (Scanning Mashine).

Rais Magufuli ametoa agizo hilo baada ya kubaini kuwa kati ya mashine nne za ukaguzi wa mizigo zilizopo, ni mashine mbili tu ndizo zinafanya kazi na hazina uwezo wa kukagua mizigo yote inayotoka na kuingia nchini kupitia bandari hiyo hali inayosababisha kutokuwepo kwa udhibiti wa uhakika wa udanganyifu.

“Kwa hiyo nawaagiza TPA, na Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Prof. Mbarawa na Mamlaka ya Mapato mpo hapa hakikisheni mnanunua mashine za kukagulia mizigo nne ndani ya miezi miwili, na ikifika miezi mitano muwe mmenunua mashine sita, ni lazima mizigo yote ikaguliwe kwa mashine” 

Dkt. Magufuli ameiagiza (TPA) kwa kushirikiana na Wizara husika kuanza mazungumzo na kampuni ya kimataifa ya kuhudumia shehena ya makasha bandarini (TICTS) ambayo inapakia na kupakua mizigo katika gati namba nane hadi kumi na moja ili kurekebisha mkataba ambao Kampuni hiyo imeingia na Serikali kwa lengo la kuhakikisha nchi inapata manufaa yanayostahili.

Rais Magufuli alitetembelea eneo la mita za kupimia mafuta yanayopakuliwa melini (Flow Meters) na kubaini kuwa mita hizo hazifanyi kazi, ameiagiza TPA kuharakisha mchakato wa kununua mita mpya na kuzifunga katika eneo hilo ili kudhibiti ukusanyaji wa mapato ya kodi ya mafuta.

Aidha, Dkt. Magufuli ameitaka TPA kujipanga kujenga bandari kavu (ICD) katika eneo la Ruvu Mkoani Pwani ili kuachana na bandari kavu zilizoanzishwa na watu binafsi hapa Jijini Dar es Salaam na ambazo zimekuwa zikitumika kukwepa kodi.

11 10 12 13 1 2 3 4 5 6 7 8 9

ULIKOSA HII YA DARAJA JPYA KUJENGWA DSM? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

You Might Also Like

Kamati ya Bunge ya Miundombinu imeridhishwa na ujenzi wa BRT

Waziri Mkuu awataka vijana na Wanawake kuchangamkia program ya IMBEJU

AudioMPYA: Joshua Ngelendo anakualika kusikiliza “Jemedari”

List ya Wasanii wakubwa watakaoimba Tamasha la Pasaka 2023

TCDC na Makakati kukuza biashara kidijitali

TAGGED: Rais Magufuli
Millard Ayo September 26, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: Baada ya kutoa album ya Views Drake kaja na hii Filamu
Next Article VideoFUPI: Mabasi ya haraka yalivyogongana yenyewe kwa yenyewe DSM
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.
Top Stories March 20, 2023
Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .
Top Stories March 20, 2023
Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.
Top Stories March 20, 2023
Serikali ya Taliban yapiga marufuku zao la bangi.
Top Stories March 20, 2023

You Might also Like

Top Stories

Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.

March 20, 2023
Top Stories

Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .

March 20, 2023
Top Stories

Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.

March 20, 2023
Top Stories

Video: Jamaa atumia dakika 8 kula Wali na nyama kilo mbili

March 19, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?