AyoTV

VIDEO: Mwenyekiti wa CCM, Rais Magufuli kavitaja Vipaumbele 10 ndani ya CCM

on

Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM imekutana leo Decmber 13 2016 jijini Dar es salaam kwa kikao cha siku moja cha kawaida. Kikao hicho kimeongozwa na mwenyekiti wa Taifa wa CCM, Dkt. John Magufuli. Rais Magufuli wakati akizungumza na wajumbe alitoa vipaumbele ndani ya chama hicho.

1.Kuimarisha chama katika ngazi zote pamoja na jumuiya zake

2.Kuongeza idadi ya wanachama

3.Rushwa

4.Chama kujitegemee kiuchumi

5.Kukomesha usaliti na kuvunja makundi 

6.Tunataka tuwe na chama kilicho imara kwa wananchama wa chini

7. Chama kizingatie kanuni zake za uchaguzi ikiwa ni pamoja na kanuni inayotaka mwanancha kutakiwa kuwa na nafasi moja ya uongozi kuliko ilivyo sasa

8.Chama ambacho viongozi na wanachama wanasimamia kwa vitendo katiba ya chama

9.Kuwa na Jumuiya ya chama zinazofanya kazi zake kwa kuzingatia matakwa ya katiba ya CCM

10:Kuwe na chama kinachoongozwa na wanachama badala ya mwanachama anayeongoza chama

VIDEO: Majibu ya JPM kuhusu kikao cha CCM kufanyikia IKULU, Bonyeza play kutazama video hii hapa chini

VIDEO: Dakika 30 za Rais Magufuli kwenye sherehe za Uhuru DSM, Bonyeza play hapa chini kutazama 

Soma na hizi

Tupia Comments