AyoTV

VIDEO: Mafuriko na Foleni sasa mwisho Kinondoni

on

April 20 2016 Manispaa ya Kinondoni Dar es salaam imesaini mkataba na kampuni ya kijerumani kwa ajili ya kutoa huduma za ushauri elekezi katika usimamizi wa ujenzi wa miradi ya Mpango wa Maendeleo katika Jiji la Dar es salaam ambayo fedha ya miradi hiyo imepatikana kutoka Benki ya Dunia.

Akizungumza na waandishi wa habari Meya wa Manispaa ya Kinondoni Jacob Boniface amesema ….>>>’Manispaa ya kinondoni kwa ushirikiano na benki ya dunia wametutengea miradi ya bil 50 ambazo itahusisha barabara mpya 13 za ujenzi wa lami’

>>>mto msimbazi kinondoni hautugusi sana, mto unaosababisha mafuriko Kinondoni ni mto ng’ombe ambao ni wa chuo kikuu kwenda Hananasif, mto ule kwa fedha hizi za Benki ya Dunia unajengewa researve ya maji kubwa’:-Jacob Boniface

UNAWEZA KUANGALIA VIDEO KUJUA MAENEO YATAKAYOGUSWA NA FEDHA HIZI KWA MANISPAA YA KINONDONI

ULIIKOSA TAARIFA YA GARI LILILOZAMA BAHARINI DAR ES SALAAM APRIL 20 2016? ANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments