Top Stories

MSIBA WA MZEE MAJUTO: LIVE kutoka Tanga maelfu wajitokeza Msafara ukielekea Msikitini

on

Muda huu Tazama LIVE , Msiba wa Amri Athuman au Mzee Majuto ukitolewa Nyumbani kwake kuelekea Msikitini kabla ya kwenda kuzikwa katika eneo alilolichagua.

HISTORIA: Alivyopata jina Majuto | Kuacha Jeshi | Rekodi anayoshikilia | Umauti

MAELFU WALIVYOJITOKEZA KUUPOKEA MWILI WA MZEE MAJUTO SAA 8 USIKU

Soma na hizi

Tupia Comments