Habari za Mastaa

Dimpoz kafunguka bata za Marekani, michongo aliyotengeneza kwa mastaa wa huko (+video)

on

Baada ya Staa Ommy Dimpoz kurejea bongo AyoTV na millardayo.com zimempata kwenye mahojiano ambapo kaelezea safari yake aliyosafiri hivi karibuni kwenda huko Marekani ambapo amekuwa akionekana kwenye bata na baadhi ya watu maarufu.

Bonyeza PLAY hapa kutazama alichozungumza Ommy Dimpoz.

VIDEO: JIONEE ALIKIBA AKIFANYA MAANDALIZI YA SHOW YAKE YA KAMPALA

Soma na hizi

Tupia Comments