Ad

Mix

VideoFUPI: Rais Magufuli yuko nje ya nchi, ikiwa ni safari yake ya pili tangu aingie madarakani

on

April 2 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jonh Magufuli alifanya safari yake ya kwanza nchini Rwanda tangu aingie madarakani. Leo May 11 2016 Rais Magufuli ameingia tena kwenye headline ambapo taarifa zinasema mapema leo Rais Magufuli ametua nchini Uganda ikiwa ni safari yake ya pili kwenda nje tangu aingie madarakani.

Rais Magufuli amewasili katika uwanja wa ndege wa Entebbe nchini Uganda kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais Yoweri Museveni kesho.

ULIKOSA RAIS MAGUFULI AKIELEZA KWANINI HAPENDI KUSAFIRI NJE YA NCHI? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE 

Soma na hizi

Tupia Comments