Mix

VideoFUPI: Rais Magufuli alivyofanya ziara ya kushtukiza Airport Dar

on

May 13 2016 Rais Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza katika Uwanja wa Ndege Dar es salaam ambapo ameiagiza Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi kwa kushirikiana na vyombo vya dola kuchukua hatua mara moja dhidi ya dosari za ukaguzi zilizopo kitengo cha ukaguzi wa mizigo na abiria katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere ( Terminal One) Dar es salaam.

ULIKOSA HII YA RAIS MAGUFULI ‘HIVI VYEO NI VYA MUDA, MWENYE CHEO KIKUBWA NI MUNGU MWENYEWE’? BONYEZA PLAY HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE 

Soma na hizi

Tupia Comments