AyoTV

VIDEO: ‘Kikwete aliniambia neema inakaa kwenye tumbo la shari’ – Nape Nnauye

on

Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye leo April 9 2017 amekutana na wazee wa jimbo la Mtama na kuzungumza nao. Kati ya vitu amezungumza ni pamoja na kusimulia kipindi alipoteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya Masasi na Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Mrisho Kikwete, Bonyeza play hapa chini kutazama….

Ukweli wa Nape Nnauye kuhusu kutenguliwa uwaziri 

 

Soma na hizi

Tupia Comments