Habari za Mastaa

VIDEO: Mfahamu Maarifa, kipaji kipya kilichotambulishwa kutoka Manzese Music Baby

on

Siku ya jana January 18, 2018 Madee na timu nzima kutoka Manzese walimtambulisha msanii mpya kutoka kwenye Manzese Music Baby (MMB) anaye fahamika kwa jina la Maarifa ambaye alianza safari ya muziki muda kidogo lakini hakuwahi kufanikiwa kupitia kipaji chake.

Sasa AyoTV na millardayo.com inakusogezea mkali huyo Maarifa iliufahamu machache kuhusu yeye, Bonyeza PLAY hapa chini kutazama video.

VIDEO: KIJANA WA MIAKA 23 ALIYEACHA CHUO KISA UMASKINI WA KWAO, ANAINGIZA ZAIDI YA M.1 KILA MWEZI

Soma na hizi

Tupia Comments