Mwimbaji Shilole amezungumza kuhusu Jacqueline Wolper kuolewa na kupata mtoto huku akijitolea yeye mfano na kusema mbona yeye amefunga ndoa na mafanikio yamezidi kuja zaidi kwani kwa sasa meshahamia nyumbani kwake, anamiliki magari na istoshe madili bado yanazidi kumnyookea hivyo anaamini ndoa ni baraka.
Bonyeza PLAY kumtazama SHILOLE akizungumza hapa.
EXCLUSIVE: GIGY KAPIGWA, AANDAA MWANASHERIA AMFUNGE MO J
Official Llyn kasema “Nilijipanga vizuri na maneno yao, Hamisa nitafanya naye kolabo”