Magazeti

Niliyokurekodia kwenye Uchambuzi wa stori kubwa za magazeti leo Feb 25 2016… #PowerBreakfast (+Audio)

on

Baadhi ya stori zilizopata nafasi ya kusikika ni pamoja na Wenye makontena waanza kufilisiwa, mali zao kuanza kukamatwa leo na vyombo vya dola, Dhamira ya Rais Magufuli kupiga marufuku uagizwaji wa sukari kutoka nje imegeuka shubiri, baada ya bei kupaa ghafla. 

TAKUKURU imemsimamisha kazi mhasibu wake mkuu Geofrey Gugai ili kupisha uchunguzi kutokana na tuhuma za kiutendaji dhidi yake, Rais wa Marekani Barack Obama awasilisha mpango wake wa kulifunga gereza la Guantanamo, kwa kuwa ni doa kwa sifa na hadhi ya Marekani na kichocheo kwa magaidi na zote unaweza kuzisikiliza kwenye hii sauti hapa chini..

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram naYouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments