Magazeti

Stori kubwa kwenye uchambuzi wa Magazeti May 4 2016…#PowerBreakfast (+Audio)

on

May 4 2016 millardayo.com imekurekodia uchambuzi wa magazeti kutoka Power Breakfast ya Clouds FM, ni uchambuzi wa Habari zote kubwa kupitia magazeti yaliyoandikwa leo Tanzania, Hizi ni baadhi ya Habari kubwa zilizoandikwa leo.

Serikali kutoa ajira 71,456, Serikali inakusudia kuajiri wafanyakazi wapya 71,456, katika mwaka mpya wa fedha wa 2016/2017, kwa lengo la kujaza nafasi zilizo wazi, huku wilaya ya Mbulu ikitengenezwa nafasi 466.

Sumaye: Magufuli mwoga, alisema Rais anaweza kusemwa, kusifiwa na kukosolewa kwa lengo jema, habari hizo akizipata zinaweza kumsaidia kufanya marekebisho kwenye Serikali yake au eneo muhimu alilokosolewa.

Unaweza ukabonyeza Play hapa chini kusikiliza…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE 

ULIIKOSA BAJETI YA WIZARA YA KILIMO YA ZAIDI YA BILIONI 200 SILIVYOWASILISHWA BUNGENI? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI.

Soma na hizi

Tupia Comments