Mix

Picha 9 kutokea katikati ya jiji la Dar baada ya mvua kunyesha leo March 23

on

Najua kuna watu wangu wanapenda kufuatilia muonekano wa miji na majiji mbalimbali ndani na nje ya Tanzania, na kazi yangu ikiwa ni kuhakikisha nakamilisha hitaji hilo, leo nakusogezea hizi picha 9 kutokea katikati ya Jiji la Dar es salaam leo March 23 2016 baada ya mvua kunyesha asubuhi.

20160323_101231

Maeneo ya Posta, Dar maji yakiwa yamejaa katika kituo cha tax

20160323_101417

20160323_101437(1)

20160323_101521

Muonekano wa barabarani

20160323_101537

Posta Dar es salaam, hali ya ubaridi pia ilijitokeza

20160323_122344

Wafanyabiashara na watembea kwa miguu nao hawakuacha kuendelea na mishemishe zao

20160323_122346(0)

Usafiri wa pikipiki ulihusika kuzinasa hizi picha

20160323_122346

20160323_122352

Maji katika baadhi ya barabara yalitawanyika pia

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FBYOUTUBE

Ilikupita hii Video ya Kamatia chini on stage Club 71 – Navy Kenzo?

Soma na hizi

Tupia Comments