Mix

PICHA 12: kutoka kwenye Utoaji tuzo za Rais kwa wazalishaji bora viwandani 2015

on

May 31 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli alialikwa katika hafla ya utoaji tuzo za Rais kwa wazalishaji Bora wa Viwandani kwa mwaka 2015 leo Jijini Dar es Salaam.

Rais Magufuli amewahakikishia wafanyabiashara na wamiliki wa viwanda kuwa serikali yake itatoa ushirikiano wa kutosha kwa wenye viwanda na wenye nia ya kuanzisha viwanda vipya ili kufanikisha nia yake ya kuzalisha ajira nyingi, kukuza uchumi na kuiwezesha serikali kukusanya mapato zaidi.

Hizi ni sentensi tano alizozizungumza Rais Magufuli kwenye hotuba yake…. 

5

Rais Magufuli

.

.

.

.

.

Rais Magufuli akizindua nembo ya shirikisho la viwanda nchini, Waziri Mwijage, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirikisho la Viwanda Tanzania (CTI) Leodger Tenga na Mwenyekiti wa CTI Samuel Nyantahe.

2

Rais Magufuli akitembelea baadhi ya mabanda ya bidhaa zinazotoka viwandani

6 7 7b 8 1

7 2..

ULIKOSA HII YA FREEMAN MBOWE KUZUNGUMZA BAADA YA UPINZANI KUTOLEWA TENA BUNGENI? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments