Habari za Mastaa

YOUNG DEE APOKONYWA GARI BAADA YA KUHAMA MANAGMENT..?

on

Rapper Young D amezungumza kwenye EXCLUSIVE INTERVIEW kuhusu gari aliyowai kupewa na management yake ya zamani je ni kweli kapokonywa baada ya kuanzisha kampuni yeke mpya..? pamoja na hilo pia ameelezea aina ya gari anayotamani kuja kumiliki badae..?

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO ya YOUNG D akizungumza.

VIDEO: ALMAS MZAMBELE AMTAMBULISHA MSANII WAKE MPYA ANAYEMSIMAMIA

Soma na hizi

Tupia Comments