Mix

‘Talaka zinapingana na utamaduni wetu, zifutwe’ – Mfalme Mswati

on

Ni kazi yangu ni kuhakikisha haupitwi na chochote kila siku, leo nimeipata hii kutoka nchini Swaziland ambapo Mfalme Mswati III ameagiza kufutwa kwa utaratibu wa Talaka akidai kuwa hauendani na tamaduni za nchi hiyo.

Mfalme Mswati ametoa kauli hiyo kwa viongozi wa dini na kuwaagiza kujadili kuhusu suala hilo na kuwashawishi wananchi ili sheria ipitishwa na kuanza kutumika rasmi ingawa agizo hilo limeonekana kupingwa na wanawake ambao inasemekana wamekuwa wakiendeshwa na mfumo dume zaidi nchini humo.

VIDEO: Ulipitwa na hii ya utani wa Spika Ndugai kuhusu Yanga kufungwa 4-0? Tazama hapa

Soma na hizi

Tupia Comments