fB insta twitter

‘Rais Magufuli azigeukia kampuni za simu’

on

Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter>>>@millardayo na Zote nakusogezea hapa chini.

Moja ya habari iliyoripotiwa ni hii kutoka gazeti la Habari Leo yenye kichwa cha habari ‘Magufuli azigeukia kampuni za simu”

Gazeti la Habari Leo limeripoti kuwa Rais John Magufuli ameagiza kwa taasisi zinazosimamia fedha na kodi, kuhakikisha kuwa Serikali inakusanya kodi kwenye miamala ya fedha, inayofanya na taasisi hizo na kampuni za simu na za madini.

Aidha Gazeti hilo limeripoti kuwa Rais Magufuli ameagiza kuwa sh bilioni saba zilizolipwa na pensheni hewa, zirejeshwe mara moja huku akitoa  ufafanuzi wa hatua ya serikali ya kusitisha kwa muda ajira serikalini. Rais Magufuli aliyasema hayo Dar es salaam jana katika kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Unaweza kupitia habari nyingine kubwa kwenye magazeti ya Tanzania June 23 2016

ULIKOSA KUANGALIA UCHAMBUZI WA MAGAZETI JUNE 23 2016 KUTOKA AYO TV? UNAWEZA KUTAZAMA VIDEO HII HAPA CHINI.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB INSTAGRAM YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments