Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Hizi hapa sentensi za Zitto baada ya kumwandikia Spika barua ya kujiuzulu
Share
Notification Show More
Latest News
Utacheka: Mwijaku apanda gari la Diamond ‘Rolls Royce’, Zuchu aangua kicheko, Baba Levo atia neno
August 19, 2022
Picha: Diamond ameingia makubaliano ya kudhamini mashindano ya Ndondo Cup
August 19, 2022
Kuelekea Sensa Agosti 23, Mbunge wa Jimbo la Ushtu anena hili kwa Wananchi wake
August 19, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 19, 2022
August 19, 2022
Kiwanda cha Chai Mponde Ujenzi wake umefikia 95%
August 18, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Hizi hapa sentensi za Zitto baada ya kumwandikia Spika barua ya kujiuzulu
Mix

Hizi hapa sentensi za Zitto baada ya kumwandikia Spika barua ya kujiuzulu

March 22, 2016
Share
2 Min Read
SHARE

Gazeti la Mtanzania leo March 22 limeripoti kuhusu kamati za Bunge kutarajiwa kufanyiwa mabadiliko makubwa baada ya ripoti ya uchunguzi wa mwenendo wa wabunge kuwatuhumu baadhi yao kujihusisha na vitendo vya rushwa kutua mezani kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai.

Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe ambaye ni mjumbe wa Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii ameandika kupitia mtandao wa kijamii wa facebook kuwa….

>>>’Kuna tuhuma za rushwa dhidi ya Kamati mbalimbali za Bunge ikiwemo kamati ninayohudumu. Nimemwandikia Spika Kuomba Uchunguzi juu Ya tuhuma hizo na kwamba achukue hatua kali dhidi ya yeyote atakayekutwa kuhusika na vitendo vya rushwa. Nimejiuzulu Ujumbe wa Kamati ili Kutoa Nafasi Ya Uchunguzi Husika‘

zitto

Zitto pia amezungumza na Kito cha ITV na kufafanua zaidi maamuzi yake hayo ambapo amesema..

>>>’ni vizuri spika aagize uchunguzi wa vyombo vya dola, vyombo vya dola vikishachunguza ndio hatua ziweze kuchukuliwa kwa sababu kuhamisha tu watu kwenye kamati haisadii kuweka misingi ya utawala bora’:-Zitto Kabwe

>>>’tuhuma hizi ni nzito na imekuwa ni kawaida hasa kwa wabunge kutuhumia na mambo yamekuwa yakiishia juu juu bila hatua kuchukuliwa na hiyo imekuwa ikishusha hadhi ya bunge kwa hiyo ni vizuri kuhakikisha kwamba jambo ili linafanyiwa uchunguzi wa kina, ningetaka wabunge wakubali ili tuchunguzwe ili vyombo vya dola viweze kudhibitisha tuhuma hizi na hatua sitahiki ziweze kuchukuliwa kwa watu watakaokutwa na makosa’:–Zitto Kabwe

20160322_144604

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FBYOUTUBE

You Might Also Like

Kiwanda cha Chai Mponde Ujenzi wake umefikia 95%

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 17, 2022

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 13, 2022

Mwana FA alivyoungana na Viongozi mbalimbali kuhamasisha Zoezi la Sensa, Masuguru Wilayani Muheza

Bwawa la Mwalimu nyerere sasa kazi ni Usiku na Mchana, ‘kukamilika June 2024’ Waziri Makamba anena

TAGGED: Tanzania
Millard Ayo March 22, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Meya wa jiji la Dar es Salaam amepatikana leo March 22, 2016..nina video ya sekunde 15 hapa
Next Article Soudy Brown kampata Nyoshi kwenye U HEARD kuhusu uhusiano wa Maji na weupe wake.
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Utacheka: Mwijaku apanda gari la Diamond ‘Rolls Royce’, Zuchu aangua kicheko, Baba Levo atia neno
Entertainment August 19, 2022
Picha: Diamond ameingia makubaliano ya kudhamini mashindano ya Ndondo Cup
Entertainment August 19, 2022
Kuelekea Sensa Agosti 23, Mbunge wa Jimbo la Ushtu anena hili kwa Wananchi wake
Top Stories August 19, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 19, 2022
Magazeti August 19, 2022

You Might also Like

Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 18, 2022

August 18, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 16, 2022

August 16, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 15, 2022

August 15, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 14, 2022

August 14, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?