Habari za Mastaa

Maneno ya Ebitoke baada ya kukutana na Ben Pol

on

Leo June 23, 2017 baada ya mwimbaji wa RnB Ben Pol kupost picha kwenye Instagram yake na kuandika ujumbe wa shukrani kwa kuzipokea hisia zake na kukutana na Ebitoke…sasa story ni kwamba mchekeshaji huyo naye ameitumia account yake ya Instagram pia kumshukuru kwa kumpokea.

Bonyeza Play hapa chini kusikiliza Story..

Maamuzi ya Dogo Janja baada ya Jux kupata Degree, China (+Video)

Soma na hizi

Tupia Comments