Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Lowassa, JK na wengine kwenye tweets 10 kubwa za leo May 13, 2017
Share
Notification Show More
Latest News
Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
March 22, 2023
Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’
March 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > fB insta twitter > Lowassa, JK na wengine kwenye tweets 10 kubwa za leo May 13, 2017
fB insta twitterMix

Lowassa, JK na wengine kwenye tweets 10 kubwa za leo May 13, 2017

May 13, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Kazi yangu ni kukusogezea zote habari ambapo nilizonazo sasa hivi ni kutoka kwenye Mtandao wa kijamii wa Twitter leo May 13, 2017.

Vyombo vya Habari vya Korea Kusini vimeripoti kuwa Korea Kaskazini iko tayari kufanya mazungumzo na Marekani iwapo mazigira yataruhusu. #BBC pic.twitter.com/NvZDMXQVXM

— millardayo (@millardayo) May 13, 2017

#MillardAyoBREAKING Treni ya abiria Kigoma to DSM imepata ajali eneo la Ngaruka na kusababisha taharuki kubwa kwa abiria. Naifatilia zaidi. pic.twitter.com/DHSbk7RhVc

— millardayo (@millardayo) May 13, 2017

#BREAKING Ndege iliyotolewa na Wamarekani kuwachukua Majeruhi watatu wa ajali ya Wanafunzi Arusha ili wakatibiwe Marekani imewasili KIA. pic.twitter.com/JSLrHyFYHN

— millardayo (@millardayo) May 13, 2017

'Naiomba Serikali pamoja na nia yao njema, waliofukuzwa kwa vyeti feki ni Watanzania waangalie ubinadamu'-Edward Lowassa pic.twitter.com/kRBNFCnSRs

— millardayo (@millardayo) May 13, 2017

Waziri wa Ardhi, W. Lukuvi amesema Dar es Salaam inatarajiwa kupimwa upya baada ya kukamilika mpango wa kisasa wa jiji unaoandaliwa kwa sasa pic.twitter.com/1OFVgzstQj

— millardayo (@millardayo) May 13, 2017

Uvamizi wa mtandaoni kwa vifaa vya udukuzi vinavyoaminika kutengenezwa na idara ya usalama ya Marekani NSA umeathiri zaidi ya mataifa 100. pic.twitter.com/HfJ3tOaDDb

— millardayo (@millardayo) May 13, 2017

Watu 19 wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa kwenye ajali ya basi eneo la barabara ya Nakuru – Naivasha nchini Kenya. #MillardAyoBREAKING pic.twitter.com/Uf9XZN1GS5

— millardayo (@millardayo) May 13, 2017

'Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za vifo vya wazee wetu Paul Sozigwa na Said Mwambungu. Mwenyezi Mungu awapumzishe'>>@jmkikwete pic.twitter.com/tvmzBD1Y0w

— millardayo (@millardayo) May 13, 2017

Mabehewa ya Treni ya abiria baada ya kupata ajali saa 5:25 usiku eneo la stesheni ya Mazimbu Morogoro, hakujaripotiwa madhara makubwa. pic.twitter.com/InQLmnXp0P

— millardayo (@millardayo) May 13, 2017

Baba mzazi wa mchezaji wa ManUnited Paul Pogba amefariki usiku wa kuamkia leo May 13 2017 #MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/htQvvNRrAY

— millardayo (@millardayo) May 13, 2017

VIDEO: Lowassa afunguka kuhusu mitandao ya kijamii TZ, vyeti feki, Kongamano, Rais JPM na mengine…

EXCLUSIVE: Aliyesali kwa sauti gari lisisombwe na maji afunguka, tazama kwenye hii video hapa chini

EXCLUSIVE: Aliyetoa pesa gari la zawadi ya Miss TZ 2016 likanunuliwe afunguka…

You Might Also Like

Guterres: Kwenye maadhimisho ya siku ya Maji duniani, “mahitaji yanaongezeka tutunze rasilimali za maji”.

WFP, imetangaza kusitisha kutoa misaada ya kibinadamu mashariki mwa Sudan.

Jenerali muhoozi aahidi msaada kwa Marekani kujenga sanamu ya rapa Tupac Shakur.

Bunge la Uganda lapitisha mapendekezo ya kifungo cha miaka 10 kwa wapenzi wa jinsia moja.

UN: Tahadhari juu ya ongezeko la joto Duniani.

TAGGED: Facebook Twitter na Insta, Social media NEWS, TZA HABARI
Millard Ayo May 13, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: “Kama wanataka kufanya Upolisi wazuie bidhaa zinazotoka nje” – Waziri Mwijage
Next Article VIDEO: ‘Kila Waziri anabadilisha mitaala, mnachizisha’ – Koshuma
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
Top Stories March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
Top Stories March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
Top Stories March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
Top Stories March 22, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)

March 22, 2023
Top Stories

Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili

March 22, 2023
Top Stories

Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya

March 22, 2023
Top Stories

Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’

March 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?