Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Huwa unadata na nyumba nzurinzuri? leo nimedata na hizi.
Share
Notification Show More
Latest News
Mohbad hakufa katika hospitali yetu – Hospitali ya Perez Medcare
September 26, 2023
Rais wa Brazil Lula kufanyiwa upasuaji wa nyonga wiki hii
September 26, 2023
Wachezaji wa Manchester United wamtaka Sancho amuombe msamaha Ten Hag
September 26, 2023
Meya wa mji wa Libya wa Derna akamatwa ni sababu za kuhusishwa na maafa hayo
September 26, 2023
Mwanazuolojia mashuhuri apatikana na hatia ya unyanyasaji wa wanyama kingono
September 26, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Nyumba/ Mijumba > Huwa unadata na nyumba nzurinzuri? leo nimedata na hizi.
Nyumba/ Mijumba

Huwa unadata na nyumba nzurinzuri? leo nimedata na hizi.

March 30, 2015
Share
2 Min Read
SHARE

a2Furaha nyingine kubwa kwa watu mbalimbali nikiwemo mimi ni kuishi au kukaa kwenye sehemu ambayo moyo wangu umeridhia, yani kuanzia mazingira yanayozunguka hapo ndio maana kwenye ndoto zangu za ujenzi siwezi kuacha kupitapita nione idea ipi itanivutia.

Ujenzi wa nyumba nzima kama hizi unaweza kuwa kikwazo kwako sababu ya kipato lakini mimi na wewe tunaweza kupata idea hata chache za kuhamishia kwenye nyumba za uwezo wetu na bado tukawa washindi.

a1Kwenye hii nyumba ya kwanza nimevutiwa na jinsi walivyoweza kucheza na ukuta mweupe kwa kuweka vitu ukutani na ndio ukavutia zaidi.

a3
Wakati mwingine sebule sio lazima iwe na vitu viiiiingi ndio ivutie, kama hii nimeipenda sana

a4

a5

a6

a7
Siku hizi bongo naona watu wengi wanakwepa rangi nyeupe na kuweka blue au kijani, labda huyu mwenye hii nyumba ameweza kubadilisha mtazamo wetu

Hii nyumba ya pili ni kwa wale watu wangu wanaopenda kuwa na nafasi kubwa nyumbani.

a8

a9

a10

a11
Hii sebule imenivutia jinsi walivyo tumia ubunifu kuweka kochi moja badala ya kuweka matatu ambapo pasingetosha.

a12

a13

a14

a15

a16

a17

a18
Hakuna haja ya kuwa na kabati la TV ndio uonekane wa kisasa, uwekaji wa TV kwenye ukuta ndio wa kisasa zaidi au kuwa na kabati dogo kama hili.

 

a19

a20

a21

a22

a23

a24

a25

a26
Chumbani hakuna meza ya kufanyia kazi wala kochi la kupumzika, uhuru ni wako na kitanda.

Umependa nini ulichokiona kwenye hizi za leo mtu wangu? nitafurahi kusikia kutoka kwako.

You Might Also Like

Picha: GSM Home Pugu, nyerere Road, bidhaa zao sio mchezo, inogesha nyumba yako

PICHA 10:Unahitaji Nyumba au kupanga Mikocheni, Palm Village wana habari njema

Nyumba za Mabilionea zenye thamani zaidi Duniani…nyumba ya Bill Gates je?

Picha 10: Ufundi uliotumika kutengeneza swimming pool katika jengo hili…

TOP 10: Zijue Hotel 10 ghali zaidi duniani kwa mwaka 2017

TAGGED: nyumba
Millard Ayo March 30, 2015
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Kutana na yote makubwa ya Magazeti ya Tanzania leo March 30 2015, page ya kwanza na ya mwisho
Next Article CCM na Urais 2015.. Gwajima alitaka kutoroshwa? Askofu Pengo kasemaje? Sikiliza hapa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Mohbad hakufa katika hospitali yetu – Hospitali ya Perez Medcare
Entertainment September 26, 2023
Rais wa Brazil Lula kufanyiwa upasuaji wa nyonga wiki hii
Top Stories September 26, 2023
Wachezaji wa Manchester United wamtaka Sancho amuombe msamaha Ten Hag
Sports September 26, 2023
Meya wa mji wa Libya wa Derna akamatwa ni sababu za kuhusishwa na maafa hayo
Top Stories September 26, 2023

You Might also Like

Entertainment

Mohbad hakufa katika hospitali yetu – Hospitali ya Perez Medcare

September 26, 2023
Top Stories

Rais wa Brazil Lula kufanyiwa upasuaji wa nyonga wiki hii

September 26, 2023
Sports

Wachezaji wa Manchester United wamtaka Sancho amuombe msamaha Ten Hag

September 26, 2023
Top Stories

Mwanazuolojia mashuhuri apatikana na hatia ya unyanyasaji wa wanyama kingono

September 26, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?